MenejaKanisa MenejaKanisa MenejaKanisa MenejaKanisa
Kanisa mahalia kwanza

Mfumo wa Kurekodi Zaka & Sadaka - Evo

Unalenga kupunguza kazi nzito ya kila Sabato: kuingiza kumbukumbu za zaka, sadaka ya pamoja na sadaka zote maalumu, na moja kwa moja kufanya mgawanyo wa aina zake. Tunalenga kanisa mahalia kwanza.

01
Rekodi matoleo
02
Mfumo unagawanya
03
Pata stakabadhi na ripoti